Habari Njema Kulingana na Marko
Sura
Muhtasari wa Yaliyomo
-
-
Yohana Mbatizaji ahubiri (1-8)
-
Yesu abatizwa (9-11)
-
Shetani amjaribu Yesu (12, 13)
-
Yesu aanza kuhubiri huko Galilaya (14, 15)
-
Wanafunzi wa kwanza wachaguliwa (16-20)
-
Roho mwovu afukuzwa (21-28)
-
Yesu awaponya watu wengi huko Kapernaumu (29-34)
-
Yesu asali faraghani (35-39)
-
Mtu mwenye ukoma aponywa (40-45)
-
-
-
Yesu ageuka sura (1-13)
-
Mvulana aliyekuwa na roho mwovu aponywa (14-29)
-
Mambo yote yanawezekana kwa mtu mwenye imani (23)
-
-
Kifo cha Yesu chatabiriwa tena (30-32)
-
Wanafunzi wabishana kuhusu aliye mkuu zaidi (33-37)
-
Mtu asiyetupinga yuko upande wetu (38-41)
-
Vikwazo (42-48)
-
“Iweni na chumvi ndani yenu” (49, 50)
-
-
-
Makuhani wapanga njama ya kumuua Yesu (1, 2)
-
Yesu amiminiwa mafuta yenye marashi (3-9)
-
Yuda amsaliti Yesu (10, 11)
-
Pasaka ya mwisho (12-21)
-
Mlo wa Jioni wa Bwana waanzishwa (22-26)
-
Yesu atabiri kwamba Petro atamkana (27-31)
-
Yesu asali akiwa Gethsemane (32-42)
-
Yesu akamatwa (43-52)
-
Kesi mbele ya Sanhedrini (53-65)
-
Petro amkana Yesu (66-72)
-
-
-
Yesu afufuliwa (1-8)
-