Habari Njema Kulingana na Matayo
Sura
Habari Zenye Kuwa Ndani
-
-
MAHUBIRI KWENYE MULIMA (1-48)
-
-
-
Yesu, “Bwana wa Sabato” (1-8)
-
Mutu mwenye kuwa na mukono wenye kupooza anaponyeshwa (9-14)
-
Mutumishi mupendwa wa Mungu (15-21)
-
Pepo wachafu wanafukuzwa kwa kutumia roho takatifu (22-30)
-
Zambi yenye haiwezi kusamehewa (31, 32)
-
(33-37)
Muti unajulikana kwa matunda yake -
Alama ya Yona (38-42)
-
Wakati roho muchafu anarudia (43-45)
-
Mama na ndugu za Yesu (46-50)
-
-
-
MIFANO JUU YA UFALME (1-52)
-
Mupandaji (1-9)
-
Sababu gani Yesu alitumia mifano? (10-17)
-
Mufano wa mupandaji unafasiriwa (18-23)
-
Ngano na magugu (24-30)
-
Mbegu ya haradali na chachu (31-33)
-
Kutumia mifano kunatimiza unabii (34, 35)
-
Mufano wa ngano na magugu unafasiriwa (36-43)
-
Hazina yenye ilifichwa na lulu ya muzuri (44-46)
-
Wavu wa kukokota (47-50)
-
Hazina mupya na za zamani (51, 52)
-
-
Yesu anakataliwa katika eneo la kwao (53-58)
-
-
-
Makuhani wanafanya mupango wa kumuua Yesu (1-5)
-
Mafuta yenye marashi yanamwangwa juu ya Yesu (6-13)
-
Pasaka ya mwisho na kusalitiwa kwa Yesu (14-25)
-
Kuanzishwa kwa Chakula cha Mangaribi cha Bwana (26-30)
-
Yesu anatabiri kuwa Petro atamukana (31-35)
-
Yesu anasali kule Getsemane (36-46)
-
Yesu anakamatwa (47-56)
-
Anasamba mbele ya Sanhedrini (57-68)
-
Petro anamukana Yesu (69-75)
-